Ads Top

KUELEWA NI MCHAKATO.


Nukuu za Raphael JL: Ukiona huelewi kila ninaposema au kuandika, usiharakishe kudhani kuwa nimekosea. Kumbuka, wewe sio kipimo ch usahihi. Kumuelewa mtu, kwa asilimia kubwa inategemea sana kama wewe mwenyewe unamuelewa Mungu na unajielewa kwa kiasi gani. Hivyo, ukiona hujanielewa, niulize; ikiwa huwezi kuniuliza, soma tena hata mara tatu. KUELEWA NI MCHAKATO.
Ushirika na Mungu

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.