Ads Top

LADHA NI UPEKEE


Quotes by Raphael JL:Kuna wakati tunawakataa watu maishani mwetu kwasababu muonekano wao kwa wakati huo hauvutii wala hauonyeshi dalili ya kuja kubadilika,ni rahisi sana kwenda Sodoma na Gomora kupitia bonde lenye ukijani unaoonekana sasa. Ubaya una tabia ya kujificha ndani ya uzuri,uzuri hauna tabia ya kujificha popote kwani ndivyo ulivyo. LADHA NI UPEKEE.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.