Ads Top

LADHA. YOU CANT COPY MY FLAVA


Quotes by Raphael JL:Ladha ni kitu cha upekee ambacho kila mtu anacho,hata kama hajui. Ladha ya chumvi sio ya sukari. Swala sio kuandika vitabu,kina ladha yako? Watu wakisoma wanakuona? Hii ndo nguvu ya upekee,LADHA. YOU CANT COPY MY FLAVA. Kwanini wewe SIO WAO.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.