Ads Top

ACHANA NA NJIWA,LOOK FOR YOUR FELLOW EAGLES.


Quotes by Raphael JL:Kinachoanza kubadilika kabla ya tabia na maneno ni UFAHAMU,ushawishi mkubwa wa kubadilika hutoka kwa TAARIFA au STORY za marafiki. Ukiona mwenendo wako umeharibika shughulika na UFAHAMU wako kwa jina la marafiki zako. ACHANA NA NJIWA,LOOK FOR YOUR FELLOW EAGLES.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.