Ads Top

DALILI ZA MTU ALIYE NJE YA NAFASI YAKE


UTAJUAJE KUWA UKO NJE YA NAFASI
DALILI ZA MTU ALIYE NJE YA NAFASI YAKE

WARUMI 11:29
[29]Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake.

Yakobo 1:17
[17]Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka.

UKIONA HUNA AMANI IPITAYO FAHAMU ZOTE-ujue umetoka kwenye nafasi yako
UKIONA MAJUTO NA KUJIHUKUMU-Ujue umetoka
UKIONA HUNA FURAHA YA BWANA-Ujue umetoka
UKIONA PIA KUWA UMEANZA KUPOTEZA SHAUKU NA HAMU YA KUFANYA JAMBO,huenda ikawa kabisaa kuwa umetoka
Ukiona umejaa huzuni na malalamiko na masikitiko
Ukiona HUPATI UTOSHELEVU
UKIONA ULICHOKUWA UNAFANYA ZAMANI NI HERI KULIKO UNACHOFANYA SASA-huenda umetoka
Ukiona umejaa kujitetea au kujiheabia sana haki...huenda umetoka
Kumbuka KARAMA AU ZAWADI toka kwa Mungu HAZINA MAJUTO
Ukitoka kwenye nafasi yako HATA MACHO YAKO YAANZA KUONA VIBAYA
Ukitoka kwenye nafasi yako UZURI HUGEUKA UBAYA kwa haraka sana

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.