Ads Top

IMANI NA UKIRI WAKO LEO UTAKUTOFAUTISHA



Kwa imani  kiri maneno haya  KWAKUWA HAKUNA NENO MUNGU USILOLIWEZA MAISHANI MWANGU LEO KWA JINA LA YESU. Mungu akutegulie kila mitego iliyotegwa na adui kwamba utanaswa leo. Adui atashangaa anajinasa mwenyewe. Huenda ungekosea kabisa leo kufanya maamuzi lakini MUNGU akutoe kwenye kila hila. Kumbuka,WOTE WAMTUMAINIAO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI,umezungukwa na nguvu za Mungu. IMANI NA UKIRI WAKO LEO UTAKUTOFAUTISHA. GOD SUSTAINS. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.