Ads Top

INFLUENCE IS A FUNCTION OF APPROACH


Quotes by Raphael JL: Ushawishi hautumii nguvu za mwili au ubabe; mtu hushawishiwa kwa lugha laini inayobadilisha nyeusi kuwa nyekundu kwa kiwango ambacho wema unaonekana ni ubaya. Ushawishi unafanya kazi zaidi kupitia udhaifu wa mtu, nimemkumbuka Eva na nyoka bustani ya edeni. INFLUENCE IS A FUNCTION OF APPROACH.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.