Ads Top

KUTOKUELEWEKA NI MAJIRA TU


Quotes by Raphael JL:Badala ya kuendelea kulalamika kwamba hueleweki,nakushauri ujikague uone wasiokuelewa ni akina nani. Wengine hawatakuelewa mpaka umejielewa. Wengine hawatakuelewa milele. Wengine wameamua wasikuelewe. FIND YOUR FELLOW EAGLES.Kutokueleweka ni majira tu.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.