Ads Top

MAOMBI SIO MIPASHO.


Quotes by Raphael JL:Ukiona kila unapoenda kuongea na Mungu kwa maombi unaanza KULALAMIKA kwa yale mambo ambayo hayajaenda sawa ujue bado uko JANGWANI,kwani malalamiko hayana nafasi KANAANI. Ndo maana kila ukitoka kwenye maombi umekunja ndita. MAOMBI SIO MIPASHO.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.