Ads Top

MKONO WA BWANA UWE JUU YAKO.


Leo nakuombea Mungu akufadhili. Awe mfadhili wako. Akupe hitaji lako kwa utukufu wake. Akulinde. Aongoze hatua zako. THE STEPS OF THE RIGHTEOUS ARE ORDERED BY GOD. Akuhimize ndani yako ili usiamua kimakosa. Asiruhusu ukutane na watu wasiothamini nafasi na uwepo wako,kwa JINA LA YESU. MKONO WA BWANA UWE JUU YAKO. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.