Ads Top

MUNGU AKUHIFADHI MOYO WAKO


Mungu wetu akuponye na kila maumivu ndani ya nafsi yako. Leo samehe  waliokukosea ili uzidi sana kuishi kwa furaha na Amani. Kumbuka ni HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA,leo toa sana na uwabariki wanaihitaji wema wako. Bwana asikutoe kuwa mawindo kwa adui zako leo kwa jina la Yesu. Kumbuka pia,kitakachokusaidia ni UTII na sio ujuaji. MUNGU AKUHIFADHI MOYO WAKO. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.