Quotes by Raphael JL:Kama humwelewi kamwe huwezi kumsaidia. Kama humjui usimuongelee. Kila mtu anatafuta mtu anaemwelewa,ni rahisi sana kumhukumu usiemwelewa. Find value in God. UELEWA NI MCHAKATO. Ushirika na Mungu!
UELEWA NI MCHAKATO
Reviewed by Musa
on
21:52:00
Rating: 5
Hakuna maoni: