Ads Top

UKIKUBALI NA KUTII



Ukikubali na kutii utakula mema ya nchi. Hata leo  ukimkubali Mungu ndani ya ufahamu wako na ukatii mwongozo wa Neno lake kupitia Roho Mtakatifu utakula mema hata leo. Nakuombea kiwango chako cha usikivu wa mambo ya Mungu ndani yako kiongezeke Leo. Mungu akutenge na kila njia ya uharibifu leo. DONT DO ANYTHING BY DESPERATION BECAUSE DESPERATION CAN DIRECTLY TAKE YOU TO YOUR ENEMIES BEDROOM. Ushinde ubaya kwa wema. WIN BY LOVE. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.