Ads Top

USHUHUDA KUTOKA KWA ESTHER WILLIAM (CLOSET PRAYERS)


Kwakweli namshukuru sana Mungu kupit ia haya maombi, vilinyeyuka vita juu yangu,tangu ijumaa,kama ningesikiliza mahubili ya kipepo kwakweli nisingevuka ningebaki kama nilivyo Mungu ni mwema alinipa nguvu ya kutokutii vilivyo vikwazo vilivyojiinua,yaaan ninaamani sana moyoni baada ya haya maombi sasaivi nasikia ule uamsho ndani yangu wa kuomba,ii hali ilikuwa imebalia ndani yangu neema tu ya Mungu,nilifikia hatuwa ya kuomba mi mwenyewe naona kabisa haya maombi sjuu kama Mungu ameyasikia,yaani naona makavu,Ila sasaivi naomba huku naamini Mungu kayasikia,Mungu pokea sifa na heshima kwa kutukumbuka watishi wako tuliokuwa tumetolewa kwenye nafasi zetu,asante kwa kutulejesha Mfalme wa Amani tunakuinua Jehova

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.