Ads Top

USHUHUDA KUTOKA CLOSET PRAYERS



Nina ushuhuda mkubwa Mimi nimepona jamani uwiii, nilikuwa natengeneza Na mpz wangu nilinunua La plot na nikaanza kujenga bila kumwambia, nimetengeneza jamani maana mahali tulipokuwa tumefika khaaa pa bays asante Mungu kwa kuijua nafasi yangu kama.msaidizi nimerudi mwanampotevu. Tumepona ndoa yangu imepona Jina lake libarikiwe
AMINA

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.