USHUHUDA WA JANE MZIRAY (CLOSET PRAYERS)
Kupitia maombi Haya Mungu kanionyesha kitu cha ajabu Sana.
Kuna Mtu alihamia Katika eneo ninalofanyia kazi na yey akiwa mfanyakazi Katika sector nyingine na akataka Niwe rafiki yake. Sasa baada Ya kuwa bad. Muda ukapta Kuna mambo flan Flan akawa anayafanya na nilvyomshtukia nikakosa amani nae Kabisa na nikagundua vitu vingine ambavyo ni nje Ya mapenzi Ya Mungu... Sasa bac mimi nikamueleza tu ukweli kwamba kutokana na mambo alyo nayo siwez kuendelea na urafiki uwe....
Kuanzia nulpomueleza Hivyo nilbadilika Sana nikawa Mtu mwenye hacra za ajabu nagombana na watu had wenzangu ofcn.. Nikiambiwa kitu kidogo tu nakuwa mkali na mwenyewe hasira Sana had nikawa najichukia mwenyewe..
Jana nilvyokuwa kwenye maombi Mungu kanionyesha Kumbe huyo Ndo chanzo cha Haya yote Kwa hyo what I know niliingia kwenye maombi na kuikataa Ile Hali na kuomba maombi Ya ukomboz... Bado ninahitaji Hekima Ya Mungu I'll niweze sasa kutengeneza na wale ambao nimeshaharibu kwao. Kwa hyo Namshukuru Sana Mungu Kwa hilo jaman.
Naifurahi hii Sana... Glory to Jesus
JibuFuta