Ads Top

USIKATE TAMAA



Hivi kuwa na hofu,mashaka na kukata tamaa na kutokujikubali ni mambo ya kujivunia? Ni sifa? Ni ujanja? Inakusaidia nini? Inakunenepesha? Ukikata tamaa unahurumiwa zaidi? Unakuwa mwekundu au wa kijani? TOKA UMEANZA KUJIDHARAU NA KUKATA TAMAA UMEPATA FAIDA GANI? Zaudi ya kujitesa na kujiumiza? Tangu uwe unataka kuhurumiwa mpaka leo  umeongezeka uzito kilo ngapi? Nakusihi kwa jina la YESU, hata ujiue hufi,sasa si bora umtegemee Mungu MIA KWA MIA?? Umelia sana,umeumia sana,umejitukana sana,umewachukia watu sana,umewalaumu wazazi sana,umemlaumu Shetani haikutosha ukaamia Mungu ukamsema weee  lakini wapi na sasa UMEHAMISHIA HOFU YAKO NDANI YAKO. KWA JINA LA YESU FUNGUKA. KWA JINA LA YEDU HUTAKUFA. BE RESPONSIBLE. WAKE UP. TURN BACK TO GOD. Kumbuka MUNGU NDIYE MWAMUZI MWENYE HAKI. Haya  AMKA UKAE MKAO WA KUPOKEA MSAADA WA MUNGU KWA IMANI...jisemee SITAKUFA BALI NITAISHI KWA JINA LA YESU. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.