Ads Top

USIMPE BWANA MAKOMBO


Usimpe Bwana makombo ya nguvu zako, usimpe Bwana makombo ya uwezo wako, usimpe Bwana SCRAPER ya matumizi yako. Usimpe Bwana uchovu wa siku yako, usimpe Bwana makombo ya kipaji chako. Usimpe Bwana ujinga wa ufahamu wako, usimpe Bwana makombo ya muda wako kwa siku. Mpe Bwana unono wa moyo wako, mpe uwezo wa nguvu zako, mpe fahari ya ujana wako. Mpe Bwana ubichi wa masaa yako kwa siku, mpe Bwana uzuri wa furaha yako. Mpe Bwana. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.