WATU WAMEOKOKA KUPITIA MAOMBI YA MASAA 36 (CLOSET PRAYERS)
Namshukuru Mungu sana kupitia mtumishi wake na nyie wote humu mmenifanya nione umuhimu wa kumrudia Mungu. Nina amani sana rohoni mwangu.Namuomba Mungu anisimamie katika safari yangu hii mpya ya kumtegemea yeye tu. Asante Mungu kwa kuniokoa mimi mdhambi. Asante sana dad kwa upendo wako na uongozi wako mpaka mimi mwenyewe kwa hiari yangu nimeamua kuokoka. Mungu atubariki sote na atuongoze
By Rosemary
Hakuna maoni: