Ads Top

WEWE UNA MAANA


WEWE UNA MAANA. Wewe unayo thamani. Wewe ni wa muhimu sana. Kuanzia Leo JIKUBALI. Tatizo lako ni kuwasikiliza zaidi MANABII WA HIARI wanaokutabiria habari za uongo. Wanakwambia umri wako ni mkubwa  kuolewa,wakes ambia kozi uliyosoma ni ngumu kupata kazi,wamekwambia bila rushwa huwezi kupata Kazi,wamekwambia kwa maisha ya sasa huwezi kufanikiwa bila kujiharibu...na wewe umewasikikiza mpaka umejichokea. NAKUKEMEA KWA JINA LA YESU. Nakupa habari njema. NI AIBU KUJIKATIA TAMAA NA BADO UKO HAI. Wewe sio maiti. THAMANI YAKO IKO NDANI YA ANACHOSEMA MUNGU na sio maneno  ya kipuuzi ya watu waliochoka fikra zao. Haya AMKA SASA. KRISTO ALIFANYIWA KILA UBAYA ILI KILA WEMA UPATIKANE NDANI YAKO LEO. WHAT GOD SAYS TO YOU IS FINAL. In Jesus name,you are significant, you are important, you are meaningful, you are beautiful, you are handsome,you are unique. ACHA KUJILINGANISHA. ACHA KUJIDHARAU. Kumbuka UNAEMUONA KWENYE KIOO NDIO WEWE HALISI na kama unaamini maneno haya  sema MIMI NI WA PEKEE,MIMI NI HALISI,I AM ORIGINAL THATS WHY I HAVE NO COPY. Nakuombea kwamba leo  FURAHA YA BWANA IFANYIKE NGUVU YAKO. By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.