Ads Top

WIN BY LOVE



Narudia tena  kukwambia USIKATE TAMAA. Basi ilikuwa haina maana ya kuanza hicho unachokikatia tamaa leo kama ulijua utakata tamaa. Kukataa tamaa ni ishara kwamba umeacha kumuamini Mungu alieanzisha hiyo Kazi njema kwako na umeanza kujitegemea au kuwategemea watu. DONT LOOSE HOPE. DONT LET IT GOD. DONT GIVE UP. DONT GIVE IN. KUKATA TAMAA maana yake  VITA NI YAKO,SI YA BWANA TENA. Mimi naamini kuwa hilo jambo lako linaisha,linapita na utavuka. Kumbuka,KUKATA TAMAA NI KUHARIBU MCHAKATO WA KUIVISHA TUNDA LA ROHO NDANI YAKO. Usikubali kwa jina LA YESU. KWA KUWA HAKUNA NENO MUNGU ASILOLIWEZA,Luka 1:37. Ni Mungu anaetungisha mimba na kuzalisha,tulia mbele zake. ITS NOT OVER UNTIL GOD SAYS SO. LEO NI SIKU YAKO NA MUNGU ATAKUFUNGULIA MLANGO MAPEEEMA KAMA UNAAMINI. UKIKUBALI NA KUTII UTAFAIDI. Kama unaamini  sema WITH GOD EVERYTHING IS POSSIBLE IN JESUS NAME. WIN BY LOVE.By Raphael JL:

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.