Ads Top

TAFUTA KWANZA UFALME NA HAKI YA MUNGU


Quotes by Raphael JL:Kuwa makini sana na watu wanaokushawishi ufanikiwe kwa haraka kwa kutumia mali kama pesa,mavazi,magari au majumba. Bwana Yesu alisema HATA MATAIFA wanasumbukia hayo. Unaweza ukawa na magari na majumba na bado ukawa unaishi maisha ya ukiwa kuliko wafiwa. TAFUTA KWANZA UFALME NA HAKI YA MUNGU,mengine UTAZIDISHIWA. Ukiona rafiki yako anatafuta KWANZA hayo mengine ujue ndege wa kufugwa sio Tai. FIND YOUR FELLOW EAGLES. Moyo unafuata HAZINA.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.