Quotes by Raphael JL: Mtu asiekuelewa atakuchosha sana maana hawezi kuona wema na thamani yako. Badala ya kuumia kwa kuwa asiekuelewa hakubaliani na unachosema au kufanya, furahia na yule anaekuelewa. TUSI LA ADUI HALIUMI. Ushirika na Mungu!
TUSI LA ADUI HALIUMI
Reviewed by Musa
on
00:41:00
Rating: 5
Hakuna maoni: