Ads Top

KILA MTU ANA HATMA YAKE



Kingdom Ladies:Kuendelea kusema siolewi mpaka dada zangu waolewe kwanza na huku umeshapata mtu sahihi wa kukuoa ni sawa na kumwambia Yakobo amrudishie Esau haki yake ya mzaliwa wa kwanza. KILA MTU ANA HATMA YAKE. Majira yako hayasubiri ya dada zako. Endelea kusubiri dada yako aolewe kwanza. Nashauri mila na desturi zisiharibu kazi ya Mungu kwenye maisha ya kila mdada. Kama Mungu karuhusu,nani anasimama njiani? MAY GOD GIVE YOU GRACE.
Ushirika na Mungu!

Maoni 2 :

Inaendeshwa na Blogger.