Ads Top

MKUBALI MUNGU LEO


Quotes by Raphael JL:Kutokujiamini ni dalili kwamba hujajitambua. Kutokujiamini huzaa maisha ya hofu,mashaka na kujistukia sana. Kutokujiamini ni kama kidonda ndugu,kinakutafuna kwa ndani. Jipime tu,huwezi kusimama mbele za watu,hujikubali,unapenda kujilinganisha lazima hujiamini. MKUBALI MUNGU LEO. Kubali kwamba kile Neno lake linasema kwako ni kweli na sahihi. Futa msamiati wa SIWEZI na kataa kujilinganisha. Find Value in God.
Ushirika na Mungu!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.