Ads Top

AKIGUSWA UNAEMPANDA,UNAEMWAMINI NA KUMKUBALI ELEWA TU KUWA ADUI WA KUDUMU NI SHETANI HATA AKIWA NDANI YAKO


AKIGUSWA UNAEMPENDA, UNAEMWAMINI NA KUMKUBALI ELEWA TU KUWA ADUI WA KUDUMU NI SHETANI HATA AKIWA NDANI YAKO

Ni rahisi sana. Ndio, rahisi sana na naamini ndo maana ni rahisi sana kufanya. Mkono ni mfupi lakini huwa unapenda sana kufanya mambo marefu refu ingawa najua moyo una nguvu kuliko mkono.


Naye Yesu akawaambia, "Mnadhani Wagalilaya hao walikuwa wahalifu zaidi kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo? 3 Nawaambieni hakika sivyo; lakini nanyi, hali kadhalika, msipotubu, mtaangamia kama wao. 4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu zaidi kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu? 5 Nawaambieni sivyo; lakini nanyi msipotubu, mtaangamia kama wao." Luka 13:1-9


By Raphael JL:
0767033300

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.