Ads Top

UKIONA HAYA UNAYO KWENYE MAISHA YAKO UJUE UMESHATEKWA NA SHETANI



1.Huna muda maombi binafsi, unasubiria wengine waombe ndo na wewe ujisikie unaomba
2.Huna muda wa kujifunza na kusoma biblia kibinafsi, unasubiria mpaka uende kanisani au kwenye mkusanyiko
3.Huna muda wa kuhubiri habari njema ya UFALME WA MUNGU na kuwafanya wengine kuwa wanafunzi na badala yake unaona hii sio karama yako, unaamini kuna watu wachache waliopewa kazi hii.
4.Huna hamu wala shauku ya mambo ya Mungu na watu wake na badala yake unapenda na hata kutetea mambo ya dunia
5.Huna muda wa mambo ya Mungu na badala yake uko busy kila baada ya dakika kadhaa kuchat kwenye social media mpaka unashindwa kufanya kazi zingine kwa ufanisi.

Kwa leo tujipime kwa hayo. JE, HALI YANGU IKOJE? Ukiona unakosa majibu yenye maana kwenye hayo maswali ujue UKO KWENYE MTEGO WA SHETANI..

Mathayo 5:6-HERI WENYE NJAA NA KIU YA HAKI. FUNGUKA KWA JINA LA YESU.


By Raphael Joachim Lyela
0767033300.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.