BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU IBADA ZA WAFU.
📚Why someone feels surfocating once she
remembers the lost of her Lovely one?
(Kwanini unakuta mtu anajisikia upweke au Vibaya baada ya kumkumbuka Mpendwa wake aliyefariki??)
Na pastor Raphael JL
YKM Founder
THEY WORSHIPPED THEM BEFORE THEY DIED...TOTAL DEPENDENCE
-....mtu akifa na ukafika hiyo level, ujue UPENDO WAKO ULIFIKA KWENYE IBADA.
-NDIO MAANA KUNA WATU HUWA WANAPOST MESEJI KWA WAFU WAO LIKE...."I MISS YOU MAMU AU DADY SO MUCH...PLEASE COME BACK".....haha hahahahahah nakwambai KUFUMBA MACHO SIO KUSINZIA
MHUBIRI 9:5 inasemaje??????????????
"kwa sababu walio HAI WANAJUA ya kwamba watakufa; lakini WAFU HAWAJUI neno lo lote, wala HAWANA ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."
🔥PIA NI ISHARA YA KUKOSA TUMAINI LA MAISHA YA BAADA YA KIFO...LIKE NDIO NITOLEE, HAMTAONANA TENAAA MAANA KAMA AMEKUFA NA HAKUOKOKA INAPOTEZA SANA MAANA...TUWAOMBEEE NDUGU ZETU WAOKOKE KAMA KWELI TUNAWAPENDA.
📚WAFU HAWASOMI STATUS KWA WHATSAP WALA INSTAGRAM..... ASANTE UJINGA
...endeleeni kuwaandikia BARUA WAFU WENU MAANA WANAZISOMA NA WANAUONA UPENDO WENU HAKIKA....JINGAZ MINISTRY
Isaya:8.19 inasema,
"Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong'ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?"
🔥MBONA ROMAN WANA MISA ZA KUWAOMBEA MAREHEMU Dady ??🔥
Kumbukumbu La Torati:18.10-11 inasema,
"Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, WALA MTU AWAOMBAYE WAFU."
Kumbuka:UJINGA WA JUMLA UNATUMIA AKILI ZA MIZIMU.
-ENDELEENI KUWAOMBEA MAREHEMU MKIDHANI MNA AKILI KULIKO MUNGU...IBADA ZA MAREHEMU HUFANYWA NA MAREHEMU WENYE MWILI WA SANAMU.
-WATU WALIOKUFA HAWANA SMARTPHONE haha hahaha hahahah
🔥ETI MAREHEMU KANITOKEA AKANAMBIA KESHO NISIENDE SHULE.... NENDA KAUZE MITUMBA WEWE haha haha hahah
........kuna mtu alimwandikia mpendwa wake aliyekufa BARUA YA KUMUELEZEA HALI YA KISIASA YA TANZANIA haha hahaha hahaha
📚IN JESUS NAME, BE FREE INDEED. USIKUBALI KUTUMIKISHWA NA WAFU NA MAFUNDISHO YA MASHETANI.
-SHETANI HUTUMIA SURA ZA WATU TUNAOWAPENDA WALIOKUFA NA KUJA KUTUTABIRIA MAMBO AMBAYO NI YA KWELI KWA LENGO LA KUTUCHOTA AKILI ZETU ILI TUWAAMINI WAFU MPAKA KUWAFANYIA IBADA.
"SHETANI ALIPOMFUATA EVA HAKUMDANGANYA, ALIMWAMBIA UKWELI NUSU NA UONGO NUSU."
HAKUNA USHIRIKA KATI YA WAFU NA WALIO HAI, BE VERY CAREFUL. I DONT CARE NI KANISA LAKO LIMEKWAMBIA KUWA NI SAWA AU NI BABA, AU NI MTUME NA NABII AU NI NANI SIJUI. HAWEZI KUSHINDANA NA NENO LA MUNGU. HAWEZI KUSEMA ANACHOSEMA YEYE KWA MAFUNDISHO YA MASHETANI NI CHA KWELI KULIKO NENO LA MUNGU.
KWANI UTAPUNGUKIWA NINI UKIMWABUDU MUNGU WA KWELI NA WA PEKEE? MPAKA UKAZANE NA WAFU? JEHOVA IS NOT ENOUGH FOR YOU? WHY DO YOU STILL NEED AN ATTACHMENT SPIRIT? KWA JINA LA YESU.
Assembled by Lackson Tungaraza
Nyinyi ni wajinga sana hamjui mnachosema
JibuFutaMimi nashangaa, tena wengine wamesoma mpaka wakaitwa maaskofu wameshindwa kujua mtu akifa mwili umetengana na ROHO? Mungu awafungulie macho ya rohoni.
JibuFutaMuache kujikuta kila neno mnalielewa vizuri, mbona mmeekewa Nyerere day na hamuongei, sembuse mzazi usimkumbuke, ! Km ni dhambi wacha tuu tuipate😌
Futa