Ads Top

BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU MASHINDANO



Feb 27 2018

GOSPEL MUSIC AWARDS......for???????????
PRAYERS AWARDS....
PREACHING AWARDS.....
THE BEST FEMALE PRAYER AWARDS

UKIONA TU UNAINGIZA KIPAJI AU KARAMA YAKO KWENYE USHINDANI UJUE LUCIFER AMENKUNONG'ONEZA. HAIJALISHI NANI ANAFANYA AU AMEANDAA.

HUWEZI KULIZUIA JICHO KUONA MAANA NDIO KAZI YAKE, ILA NIA ILIYO NYUMA INA NGUVU KULIKO JICHO LENYEWE.

HATUFANYI ILI TUSHINDANE
TUNAFANYA BKOZ MUNGU KATUPA UWEZO HUO NDANI YETU NA MAZINGIRA YA KUFANYA

KAZI YA MUNGU NI KUMWAMINI YESU ALIYETTUMWA NA MUNGU.
KAZI YA MUNGU NI KUMWAMINI YESU.

28. Then said they unto him, What shall we do, that we might work the works of God?

29 Jesus answered and said unto them, This is the work of God, that ye believe on him whom he hath sent.

COMPITITION IN THE BIBLE, ONA HIZI HAPA
LUKA 22:24-27
Mathayo 20:20-28
WAFILIPI 2:3-4
KOLOSAI 3:23
WAGALATIA 6:4
MHUBIRI 2:22-26
LUKA 16:15
WAGALATIA 6:9
WAGALATIA 5:26
MATHAYO 19:30
2 COR 10:12

Ni kama tusiposhindanishwa tunaona vipaji na vipawa vyetu havitafanya kazi vizuri
YAKOBO 4:1
1 TIM 4:8
HAYO NI BAADHI YA MAANDIKO YANAYOSEMA KUHUSU KUSHINDANA, HEBU SOMA NA WEWE HALAFU USEME UNAONA NINI ISIJE IKAWA BIBLIA YANGU IMEPINDUKA.

Ya mwisho: KIPIMO NI LUKA 12:48. TUTAPIMWA KWA UWEZO TULIOPEWA. ALIYEPEWA VINGI ATADAIWA VINGI PIA. HATUTAPIMWA KWA KUMSHINDA FULANI. MUNGU NIREHEMU MIMI.

By Raphael JL
0767 033 300
Dodoma

YKM:Fulfilled in Christ

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.