Ads Top

MWILI HUTAMANI.



Mindset Upgrade:Galatia 5:17,kwa sababu mwili HUTAMANI ukishindana na Roho. Ukweli ni kwamba mwili hauwezi kutosheka kutamani,ndo maana ni vema kujua nini maana ya TAMAA huzaa DHAMBI na dhambi huzaa MAUTI. Hakika tukiufuata mwili na tamaa zake TWATAKA KUFA. Jiulize,WEWE UNAUFUATA MWILI kwa kiwango gani? Mwili unatakiwa USULUBISHWE kwa nguvu za Roho Mtakatifu. unaweza ukawa mrembo na mtanashati lakini ujue kuwa huo mwili ni mavumbi tu hivyo usikufanye ukawaangusha wengine na kukua wewe. USIWE WAKALA WA UHARIBIFU KWA MWILI WAKO.

YKM:Satisfied in Jesus!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.