Ads Top

SIMAMIA MAHALI PALIPOBOMOKA


Feb 26 2018

Unajikuta tu kwenye kila familia kuna mtoto anabeba jina la familia kwa ubaya au uzuri
Unaangalia unaona kuna mtoto ni kama kichwa cha familia na mwingine ni kama mbumbumbu wa familia
Unakuta baba alizaa nje kalba ya kuoa
Mama alizaa nje kabla ya kuolewa
LAZIMA UNAKUTA KUNA MTOTO MMOJA ATAFANYA HIVO NA YEYE KABLA HAJAOA AU KUOLEWA
Utakuta yupo tu mtoto mlevi mmoja au muhuni mmoja au mwenye mambo ya ajabu
KILA AKIPATA UJAUZITO BAADA YA MIEZI MITANO MIMBA INAHARIBIKA
KUNA PATTERNS ZA UHARIBIFU AU MDUARA WA UHARIBIFU
SIMAMA MAHALI PALIPOBOMOKA
WATU HAWAOLEWI
WATU HAWAOI
WATU KILA WAKIFIKA FORM FOUR WANAFELI TUUU
UKIGUNDUA TATIZO HILI LIPO KWENYE FAMILIA YENU, INGIA KWENYE MAOMBI YA TOBA NA REHEMA
CHORA MSITARI KWAMBA HAKUNA MWINGINE ATAKAEPITA HAPO
ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE SANA
KAMA UNAJUA UMEKWAMA HAPO UTAFANYA BIDII

By Raphael JL
Dodoma Tanzania

YKM: Satisfied in Jesus!

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.