THE ROLE OF INFORMATION IN 21ST CENTURY
THE ROLE OF INFORMATION IN 21ST CENTURY
Knowledge
is a function of Truth = the source
Truth
is not equal to fact
Those
who have authority are those with the right information because in this world
information is all needed.
1. Kusikia
sio kuelewa
2. Kuelewa
sio kufanya
3. Kufanya
sio kupatia
4. Ni
lazima ufanye kama ulivyoelewa.
TAARIFA
·
Nzuri-good
·
Mbaya-bad
·
Sahihi-right
·
Si sahihi-wrong
·
Uongo-lie
·
Ukweli-true
Utajuaje kuwa una taarifa sahihi za mtu yaani KUMUELEA,
KUMKUBALI, KUMWAMINI, KUMPENDA, UMEMZOEA?
- -UTAMTETEA
Mtu
yeyote anayemtetea mtu au kitu ni lazima awe amefikia hatua hizo zote tajwa.
Na
kama unamtetea mtu je ni taarifa gani za kwake ulizo nazo? Aina za taarifa hizo
zimetajwa juu.
Na
kama unamtetea mtu na huna moja kati ya aina taarifa hapo juu basi bado
haujafikia kiwango cha kumtetea.
Tag word
Don’t
assume life, life is more than assumption
When
you know the truth and you choose to follow a lie, the result is life suffering.
Quotes
by Raphael Lyela
What
you know remains powerful and relevant to you as long as nothing new and more
powerful than what you know get into your mind because when it does changes are
unkwepable
Lesson:
Truth is never a function of percentage, it’s the function of wholeness
Danieli 12:9-10 NEN
' Akajibu, “Danieli, enenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na
kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho. Wengi watatakaswa, na kuondolewa mawaa na
kufanywa safi, lakini waovu wataendelea kuwa waovu. Hakuna mmoja wa waovu
atakayefahamu, lakini wale wenye hekima watafahamu. '
Danieli 12:9-10 BHN
'Akanijibu, ‘Danieli, sasa nenda zako, kwani maneno haya ni siri na
yamefungwa kwa kutiwa mhuri mpaka wakati wa mwisho. Watu wengi wataondolewa
uchafu, watatakaswa na kusafishwa. Lakini watu waovu wataendelea kutenda uovu.
Hakuna hata mmoja wa hao waovu atakayeelewa; wenye hekima ndio watakaoelewa. '
Kiroho
(Mwanzo 1:26,27) Devil akatawala
Adam
(Mwanzo 3:1-)
Kimwili
(Mwanzo 1:28-2:1->) Uadui
ukazaliwa
Eva alikuwa na taarifa sahihi kutoka kwa
Mungu juu ya mti, nyoka alipokuja naye akaleta taarifa zake ambazo zikamfanya
Eva azikubali.
- - Kuzikubali taarifa za mwingine na wewe
una taarifa za kitu hicho kunatokana na nguvu za hizo taarifa unazozipokea. taarifa
mpya zikiwa na nguvu ya kuzidi ulichonacho ndipo zenyewe zitachukua nafasi
-
Asilimia 75 ya ukweli bado ni uongo
Kuongea ukweli nje ya nafasi yako huo
bado utakuwa ni uongo
Mti wa ujuzi wa mema na mabaya ulikuwa
coded kama body of information, kula tunda ni kukubali, kuelewa na kumwamini
nyoka, maana yake akazipokea taarifa zote na zikameza zile alizonazo. Adam
hakudanganywa na nyoka ila alikubali kuelewa na kukubali kupokea taarifa za
uongo za shetani.
Kabla adam hajala tunda/hajakubaliana na
Hawa alikuwa anaishi maisha ya ukaribu
na Mungu na baada ya kukubali uongo wa nyoka/kula tunda wakatengana na
Mungu/kuwa mbali na Mungu. Walikuwa uchi maana yake alikuwa disconnected na
Mungu.
Baada ya hapo alipoteza malaka ya kiroho
naya kimwili pia. Baada ya hapo ndipo Ibilisi akaanza kutawala na ndipo Uadui
ukazaliwa. Hapo ndipo kukazaliwa mbegu (Seeds):
1. -
Mbegu ya uzima
2. - Mbegu ya uharibifu
Vizazi vyote vilivyofuata vilikaa kwenye
either uzima au uharibifu. Hata baada ya vizazi tofauti vilivyotenda dhambi na
kumchukiza Mungu kuharibiwa na kuisha kabisa lakini bado vizazi vilivyofuata
viliendelea tena na dhambi. Mfano gharika
Ukiwa nje ya nafasi huwezi ongea ukweli
Hakika maarifa haya ni sahihi kwa kila kijana kuyafahamu
JibuFuta