Ads Top

WALK AND WORK WITH GOD-EFC 2018



WALK AND WORK WITH GOD
DEVOTION-DAY 5

MUNGU KWANZA
·         Kumjua Mungu
·         Kumjua Mungu kunahitaji kufanya maamuzi na kujikana then kuwa na effort katika kumjua (Kusoma neno, kuomba)
·         Kumjua Mungu kuna gharama ya kulipa
·         Neno ndio pekee hujua mawazo yaliyo ndani ya mtu kwa hiyo prayer point ya kwanza ya mtu ni NENO.
·         Neno la Mungu ni kila kitu, ukilipa heshima haliwezi kukuacha kama ulivyo. Soma, andika, jifunze sana na ulitafakari na kuliweka sana moyoni.
·         Mungu ana njia nyingi sana za kukutatulia tatizo moja so usije ukamkariri Mungu.
·         Na ukiwa unafanya kazi na Mungu experience is not enough.
·         Tembea na Mungu
·         Ukishamjua Mungu hapo ndipo utaweza kutembea na Mungu.
·         Kutembea naye ni kuwa na ushirika nay eye, Yeye ndani yako na wewe ndani yako
·         Fanya kazi na Mungu
·         Baada ya kuwa na ushirika naye ukiwa unamjua vyema hapo ndipo unaweza fanya nae kazi
·         Faidika kwa kuwa na Mungu
·         Hapa Mungu atakutukuza, utafaidika kwa kuwa na Mungu kwenye maisha yako. Mf. Henoko alitembea na Mungu na alifaidika naye.
·         Ukitembea na Mungu huwezi aibika kamwe na ukitaka kuona umuhimu wa kutembea na Mungu ili ufaidike naye fanya kosa au kosea halafu uone.

WALKING AND WORKING WITH GOD
·         Unaanza na mahusiano kwanza ndipo unafanya nae kazi
FOCUS:
PRACTISE PERSONAL DISCIPLINES

CASE STUDY:
The journey of the children of Israel through the wilderness.

Deuteronomy 1:1-2
' THESE ARE the words which Moses spoke to all Israel [still] on the [east] side of the Jordan [River] in the wilderness, in the Arabah [the deep valley running north and south from the eastern arm of the Red Sea to beyond the Dead Sea], over near Suph, between Paran and Tophel, Laban, Hazeroth, and Dizahab. It is [only] eleven days' journey from Horeb by the way of Mount Seir to Kadesh-barnea [on Canaan's border; yet Israel took forty years to get beyond it].'

·       Wote waliokuwa wakimnung’unikia Mungu hawakufikishwa kaanani.
·       Mungu alitengeneza Discipline kwa wana wa Israel ili tu wajue jinsi namna ambavyo walitakiwa waishi na kuenenda.

God Walks
Genesis 3:8
Levicticus 26:12

God Works
John 5:17
1 Corinthians 12:6

God gave us two feet for walking and two hands for working
Joshua 1:3
Psalms 103:7

Wengi hudhani kuwa kuna vitu wanaweza wakafanya ili kumconvince Mungu, Ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu hiyo concept ya kwamba ili afanye ni lazima wewe uwe umefanya kitu fulani ni lazima itatoka tu. Mungu anafanya kwa maamuzi yake yeye mwenyewe na kwa kutupa neema.

Walking with God means:
1.      Walking in the spirit.
·         Gal 5:16,25
·         Rom 8:1,4
·         Lazima umpokee kwanza Yesu ndipo uanze kutembea na Roho Mtakatifu
2.      Walking by faith
·         Romans 4:12
·         2Corinthians 5:7
·         Mathew 14:26
·         Kutokutembea kwa Imani kunafanya tumwamini sana mwanadamu kuliko Mungu
·         Hasara ya kutokuishi kwa Imani ni kuenenda katika matendo ya mwili Zaidi, hiki kitafanya kupungukiwa na utukufu.
3.      Walking in the light
·         Isaiah 2:5
·         John 8:12
·         Hapa inamaanisha kutembea katika nuru, kuwa na maarifa ya kiMungu. Kutembea na kweli ya Mungu.
4.      Walking in humility
·         Micah 6:8
·         Mungu anahitaji kwako kutenda mambo ya haki, kupenda kuwa na huruma na kuishi kwa unyenyekevu na yeye.
5.      Walking in high places
·         Habakkuk 3:19
6.      Walking with Jesus Christ
·         Colosians 2:6
·         Revelation 3:3,4
7.      Walking in the word of God
·         2 John 6
·         2 John 1:4
·         Deuteronomy 10:12
·         Joshua 22:5
8.      Walking in love
·         Ephesians 5:2
9.      Walking in agreement with God
·         Amos 3:3

Working with God means:
1.      Allowing God to manifest his power through us
·         Mark 16:20
·         Ephesians 1:19, 3:20
2.      Building our whole lives on Jesus Christ
·         1 Corinthians 3:11-15
·         Mathew 7:24-27
3.      Doing God’s will for your life. Did God send you to Compassion? Are you doing His work?
·         John 9:4
4.      Believing Jesus Christ
·         John 6:28,29
5.      Translating our faith into action
·         James 2:14-18

GODS H.I.G.H STANDARDS
God is not going to negotiate His Holiness in order to accommodate us – R.C Sproul
Ø         HOLINESS
·         Leviticus 11:45
Ø         INTEGRITY
·         Leviticus 22:31
Ø         GRATITUDE
·         Psalms 100:4
Ø          HUMILITY
             ·         Deuteronomy 8:2-3
·         1 Peter 5:5

-          Mungu anahitaji kutukuzwa katika kila jambo ambalo yeye analifanya
-          The more you appreciates everything that is only Him that does all then the more you keep prospering


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.