Ads Top

MAMBO MANNE YANAYOSUMBUA AKILI ZA VIJANA DUNIA NZIMA.



03.04.2018

Kila kijana Tanzania na duniani kote, awe hana dini, awe nayo, awe mwekundi au wa kijivu, awe ameokoka au ni Myebusi inaonekana kuna mambo manne tu yanamsumbua. Na kutokujua asili ya mambo haya manne na namna ya kuyapata kwa njia SAHIHI au NJIA YA MUNGU kumewafanya vijana wengi sana waingie kwenye makundi hatarishi ya ukahaba, umalaya, madawa ya kulevya, kujiuza na kujikta wamekuwa watumwa wa watu wenye uwezo na wengine kuingia kabisa kwenye uchawi na kumwaga damu za watu ili wapate yote au sehemu tu ya haya mambo manne.

Mambo yenyewe ni:
1. PESA NA MALI NA UTAJIRI-RICHES
2. UMAARUFU NA KUJULIKANA-FAME
3. KUWA NA WATU WA AINA FULANI-PEOPLE,BELONGINGNESS
4. KUFAHAMIKA NA MIFUMO FULANI-CONNECTIONS

Kwa neema ya Mungu nitakuwa naelezea moja moja kwa wakati wake.

Raphael JL:
Web: www.ykm.or.tz
0767033300 (Whatsapp tu)
Dodoma, Tanzania.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.