MTAZAMO,ATTITUDE, CHUJIO.
MTAZAMO/ATTITUDE/CHUJIO
05.05.2018
📍KILA MTU ANAO MTAZAMO WAKE JUU YA KILA KITU ANACHOONA, ANACHOSIKIA AU KUHISI
📍 MITHALI 23:7 INAWEKA VIZURI JUU YA MTAZAMO
Mithali 23 : 7 - Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
📍MTAZAMO NI HALI YA NDANI YA MTU ANAVYOJITAZAMA NA NAMNA AMBAVYO VILE ANAVYOJITAZAMA INAATHIRI ANAVYOTAZAMA ULIMWENGU WAKE WA NJE
📍 MTAZAMO NI VILE KILA MMOJA WETU ANAVYOELEWA MAMBO NA ANAVYOTOA MAANA, THAMANI NA UMUHIMU WA KILA KITU.
👉🏽 MTAZAMO UNAATHIRIWA SANA NA MAKUZI NA MALEZI NA UFAHAMU WA MTU
📍 MFANO WALE WALIOISHI KATIKA MAZINGIRA YA KUNYANYASWA HUWA WANATENEGENEZA MFUMO WA NDANI YA KUJILINDA AU DEFENSIVE MECHANISM AMBAYO HUMFANYA AWE MTU ANAEONA UBAYA KWANZA AU HATARI KABLA YA UZURI.
📍WATU WALIOONEWA KWA MUDA MREFU HUTAFISRI MAMBO MENGI SANA KAMA WANAONEWA TU VILE
👉🏽AINA YA MAISHA ULIYOISHI YAANI MAMBO ULIYOKUA UKIYAONA, UKIYASIKIA NA KUYAPITIA NDIO YAMEKUUMBA MPAKA ULIVYO SASA
📍 UKIWA NA RAFIKI ASIYEJIAMINI NA ANAEJISTUKIA KATIKA MENGI AYAFANYAYO INA MAANISHA MTU HUYO ATAKUTUMIKISHA KWENYE UTUMWA WA MTAZAMO WAKE KWANI HATA UKIKAA KIMYA KIDOGO NA MLIKUWA MNACHAT ATAHISI KUNA KOSA AMEFANYA AU LA.
👉🏽 MWAMBIE JIRANI YAKO...BILA MTAZAMO KUBADILIKA HAKUNA KINACHOBADILIKA NDANI YAKO.
👉🏽YOUR ATTITUDE MUST CHANGE FIRST FOR ANY CHANGE TO TAKE EFFECT IN YOUR LIFE.
📍 MTAZAMO HAUBADILIKI HIVIHIVI BALI UNABADILISHWA NA INFORMATION AU TAARIFA. NA TAARIFA LAZIMA IWE SAHIHI NA ILI IWE SAHIHI NI LAZIMA IWE YA MUNGU, THAT MEANS NENO LAKE.
👉🏽 MTAZAMO PIA UNAATHIRIWA NA FALSAFA AU IMANI YA MTU. MTU ANAVYOAMINI NDIVYO ALIVYO NA NDIVYO ATAKAVYOFAIDIKA PIA.
📍MTU YEYOTE ANAEWEZA KUBADILISHA NAMNA UNAVYOFIKIRIA UJUE ANA USHAWISHI MKUBWA SANA KWENYE MAISHA YAKO
📍 UKIWA NA TAARIFA ZA UONGO UTAKUWA NA MTAZAMO MBAYA LAZIMA YAANI.
📍 MTAZAMO WA WENGINE NI KUWADHARAU WALE WASIOFANANA NAO.
📍 WWENGINE WANAISHI WAKIJIPIMA KILA SIKU KAMA WAO NI WAZURI KULIKO WENGINE
📍WENGINE WAKIONYWA WANAZIRA NA KUGHAIRI NA KUACHA KUFANYA WALICHOAMINI TOKEA WANAANZA.
📍WENGINE WAKIONYWA WANAKWAZIKA NA KUAMUA KUMZIRIA ALIYEWAONYA haha haha haha hahaha
📍KAMA UMEKULIA KWENYE GETI, MAISHA NI TOFAUTI SANA NA MTOTO WA USWAHILINI. WEWE UNAKULA KWA APPETITE NA MWENZIO ANAKULA KWA NJAA. VERY DIFFERENT
📍WEWE UKILALA MPAKA UTANDIKE KITANDA,MWINGINE ANAAMKA YESU KAFUFUKA STAILI.
👉🏽KUTOFAUTIANA KWA MTAZAMO NDIO JAMBO KUBWA LINALOWEZA KUWAUNGANISHA AU KUWATENGA WATU WAWILI.
📍MTAZAMO UKIBADILIKA JUU YA MTU AU KITU UJUE MAHUSIANO HAYAWEZI KUBAKI SALAMA KAMWE UNLESS MTU AWE MNAFIKI.
👉🏽 VIJANA WENGI WAMETEGWA KWENYE MAHUSIANO, KWINGINE KOTE WANAMSIKIA MUNGU ILA IKIFIKA NANI WA KUOA NA KUOLEWA NAE INAKUWA ISSUE....ILA AKIPATA ATASEMA BWANA KAMUONYESHA...MBELE KIDOGO ANAANZA KUSEMA YAANI NAONA TOFAUTI SASA HIVI...KWANI BWANA KABADILIKA?
📍 MTAZAMO NI KITU CHA AJABU SANA
📍 MTAZAMO WAKO UKIBADILIKA JUU YA MTU UKARIBU WAKO PIA LAZIMA UBADILIKE.
📍PIMA MTAZAMO WAKO JUU YA MUNGU.....NDO MAANA UNA KIWANGO HICHO CHA MAHUSIANO NA MUNGU NA NENO LAKE MAANA KUNA NAMNA UNAMCHUKULIA.
YKM: Satisfied in Jesus!
By Raphael Joachim Lyela
Web: www.ykm.or.tz
0787-110003
Dodoma,Tanzania
Instagram: @raphaellyela
YouTube: Raphael JL
Hakuna maoni: