GOD INCIDENCE YOUTH CAMP:TREASURED POSSESSION
HAZINA YA MOYO.
DAY 3; Devotion
A quality of precious metals, gems, or other valuable objectsKeep carefully (a valuable or valued item)
Wealth (such as money, jewels, or precious metals) stored up or hoarded buried
Wealth of any kind or in any form: riches
A store of money in reserve
Something of great worth or value; ALSO; a person esteemed as rare or precious
Utajiri wa mtu sio pesa anazozitumia bali ni akiba aliyonayo.
JENGA UFAHAMU
All treasures are protected- Hazina inalindwa
Kiwango cha Ulinzi kinaakisi Kiwangu cha Hazina
Hazina inatetewa kwa nguvu kwa kiwango cha thamani yenyewe.
Ukitaka kujua hazina yako angalia moyo wako jambo la kwanza unalolifikiria mara kwa mara
Hazina inatafsiri thamani
Hazina ikivamiwa ni moyo umevamiwa, that means life.
Hazina ni chombo au kitu elekezi cha moyo
Moyo unaifata hazina
Moyo, moyo moyo.
Hazina ilipo ndipo moyo unapoenda.
Hicho ambacho ni hazina ndicho kinachotafsiri ubora wa maisha yako yote.
Kile unachokiwaza, kifikiria kila wakati ndipo hazina yako ilipo.
Wekeza kwa nguvu utapata kwa nguvu
Hazina mpaka kilindini.
Hazina imefananishwa na ufalme wa Mungu
Hazina na moyo
Hazina na mali, watu???
Hazina na uzima wa milele
Hazina inawekwa mbinguni au duniani…HOW
Zaburi 19:14
Maneno ya kinywa changu na MAWAZO YA MOYO wangu yapate KIBALI mbelezako, eeeh Bwana, Mwamba wangu na mwokozi wangu
Neno wazo lililotamkwa. Word a spoken though, idea
Wakolosai 3:1-2
Efeso1:15-23
Macho ya moyo- ufahamu
Mathayo 12:34
Yeyote anayeweza kubadili mawazo yako wewe ananguvu kuliko wewe. Whatever can change your mind can change your life. Once your mind change, your confession change too
Ukilipa tatizo tatizo linakupa uzito ndani yako. Na chochote kitakachokuja kitatasfiriwa na tatizo
Waefeso 2:1-10
Warumi 12:1-2
Mathayo6:19-21
Hazina ina nguvu kuliko moyo.
Mathayo 6:24
Huwezi kumtumikia Mungu na mali. Kwamba Mungu ameweka mali na yeye katika level inayofanana kwa kiwango ambacho mfano, ukichagua mali inaweza kukusaidia au kukuharibu.
Luka 12:16-21
Swali: kujiwekea nafsi akiba what does it mean?
Yakobo 5:2-3
Luka 16:9, 13
Assignment: Luka 16:9
Mathayo 13:44-46
Mathayo 19:16-22
Kutoka 19:5-6
Tito 2:14
Hazina yako ni nini?
Hakuna maoni: