GOD INCIDENCE YOUTH CAMP : SPECIAL SPIRITUAL AND ABILITIES na Pastor Raphael JR
Special abilities
empowered by the Holy sprit
·
There are different
types of special spiritual abilities and gifts that is the work of the holy
spirit to all believers;
ü It
is the work of the holy spirit
ü The
Holy Spirit is the source
ü The
Holy Spirit is the supplier, the giver
·
John14:15-16, Ephesians
2:6
KEYS TO NOTE ON SPIRITUAL GIFTS
1. There
different kinds of spiritual gifts but the same holy spirit is the source of
the all
2. There
are different kinds of services but we serve
the same lord
3. There
different kind of work but its God who works in different ways, it is God who
does the work in all of us.
Vipawa vyote vya Roho
mtakatifu ni kwaajili a kulijenga kanisa
I
Cor 12:1-7 (1 cor 12:7 my paraphrase)
Karama za ufunuo
1.
Nenola Hekima
2. Neno la Maarifa
3. Kupambana
roho
Karama za kusema
1. Unabii
2. Aina
za lugha
3. Tafsiri
za lugha
Karama za nguvu
1. Imani
2. Miujiza
3. Uponyaji
1Corith12:11
KARAMA KUU KULIKO ZOTE
Upendo ni kiungo
kinacholeta ladha nakusababisha matokeo ya karama zingine zote, hii ndio ile
karama iliyokuu, haimaanshi usiwe na karama zingine. Karama zingine zote
zinafanya kazi vizuri na kwa ufanisi upendo ukwa ndio chach. Tendaj wa karama
zinginenategemea sanawepo wa upendo wa Mungu kwa Yule mwenye karama. hata huo
upendo wenyewe sio wa binadam, ni upendo
uliotoka kwa Mungu. TUNAJIFNZA KUPENDA KWA MUNGU
KARAMA AMPLIFIED
1 Corinthians 12:28-31
1. Mitme,
apostels
2. Manabii,
prophets
3. Waalim,
teachers
4. Miujiza,
miracles
5. Uponyaji,
healing
6. Masaidiano,
helpers
7. Maongozi,
leadership
8. Aina
za lugha, kusema au kunena kwa lugha
1 Cor 14:1-15
UBORA WA KARAMA
YA UPENDO KATIKA KUENDESHA NA KETENGENEZA KARAMA ZINGINE ZOTE
1. Upendo
huvumila
2. Upendo
hufadhili
3. Upendo
hasd
4. Pendo
hatakabali
5. Upendo
hajivuni
6. Upendo
haukosi kuwa na dabu
7. Hautafti
mambo yak
8. Hauoni
uchngu
9. Hauesabu
,mabaya
10. Haufurahii
udhalimu
11. Haufurahi
pamoja na kweli
12. Upendo
huvumilia yote
13. Huamini
yote
14. Haustahimimli
yote
15. Haupungui
neon wakati wowote
1
Wakorintho 13:8( My paraphrase)
1 Wakorintho 13:13
Hakuna maoni: