GOD INCIDENCE YOUTH CAMP: ZENGWE na Mwl MAKWAYA.
ZENGWE
KUNA TAFRANI/ZENGWE
HUWA VINATUPATA ILI KUTUINUA JUU ZAIDI
Mathayo 27:1-66
Tafraninighasiafujoambazomtuhusababshiwakiasiizinawezakumfanyamtukushindwakutulia
Zengwe
ni aina fulani ya vizuizivinawekwailiusifanikishejambo Fulani au uonekanehaufai
Karibukilangaziunayopigayakukuakirohohuwanachangamotozakenazinawezakuwazakujisababishia
au kusababishiwa.
Hivyotafrani/zengweknanyakatiMunguhuruhsuiliajipatieutukufunakutuinuasisikwautukufu
wake.
Raha ya zengwekikupatawengiwajue
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
KABLA YA ZENGWE:
Watu
wengi tunaishi bila kuwa tayari kwa mambo ambayo yanaweza kutupata mbeleni
Na
wakati mzuri wakujiandaa ni wakati waamani, wakati wautulivu.
Ni muhimusanakujiandaa, namaeneohayamatatunimuhimusanakuwavizurilablayakukutananalolote
la mbeleni.
1. Ijue
huduma yako- kusudi-hatima
2. Mtazamo
chanya kwenye lolote linalokuja mbele yako.
3. Uwe
na muda wa kuwa katika maombi
MAMBO MUHIMU YA
KUZINGATIA KATIKATI YA ZENGWE.
Unapokuwakatikatiyazengwe
au tafranambaloumesababishiwanaunaona mambo hayaendivizurikunahatihatikubwaunawezakukosea.
Ni
muhimusanakuwamakinikatikakipindihikiambachohuwanikigumusana.
1. Punguzakuongeasana.
2. Waombeerehemawaliokusababishiazengwe/tafrani.
Zaburi130: 3-4
3. JifunzenajizoeshekumsifuMungu
Matendo16:19-27
4. Epukakabisakunung’unikanakulalamikiawengine
Kung’unikakunaufungaubongowakokuonanjia.
5. MuaminiMungukwambaatakuvushakatikazengwehilo.
MAMBO
YA KUZINGATIA BAADA YA ZENGWE
Tafranihuwahazidumumudamrefu.
SasabaadayakipindihikokupitanakamaniMunguamekuvushahuwaanakuwaamtuinanakutpakibalikikbwazaidiyakile
cha awalikablayazengwenatafrani.
Hivyonimuhimusanakujuani
mambo ganiyakufanyabaadayazengwe.
BAADHI YA MAMBO MUHIMU
YA KUFANA BAAADA YA ZENGWE.
1. Siwakumbushewatuubayawaliokusababishiakwalengo/niayakuwaumiza.
2. UzidikunyenyekeakwaMunguiliaendeleekukutumiakuwasaidiawengine.
3. UsiachekumtumaniaMungu.
“Vijanawasionamawaa,
wazuriwauso, wazurwaHEKIMA, WEREVUkwasababuya MAARIFA yao, wenyeKUFAHAMUelimu,watakaoweza kusimamakatkajmba la mfalme, tena alimwambia awafundishe ELIMU yawakaldayo, naLUGHAyao.”
Daniel 1:4
Rumi
12:1-21(16), Ephesians 4:
Hakuna maoni: