Ads Top

MOVE WITH MOVERS YOUTH CAMP: THE KNOWLEDGE OF GREATNESS OF GOD




Ukisahau uwezo na mamlaka alioyonayo Baba yako utaishi kama Mtumwa.

Kanuni ya Mabadiliko ya kudumu
1.      KNOW
2.      DO
3.      BECOME

Faith at some pints expire when the accomplishment of what is hoped for. But Knowledge does not expire. You can never undo Knowledge. Henceforth we are supposed to work out on what we Know.

Ili kujua kama mtu uliyenaye ni sahihi au sio sahihi pima kwa namna gani mtu huyo anakusogeza karibu zaidi na Mungu na kwa namna gani anakusaidia Kukua Zaidi kwako kiroho na katika ufahamu wako wa kumjua Mungu   [Zaburi 100:1-5]

Waebrania 11:6

THE KNOWLEDGE OF GREATNESS OF GOD
KNOW
First thing to know in this World is God.

UNDERSCORING
1.      Who God is to me, Mungu ni nani kwangu?
2.      What God has done, Mungu amefanya nini?  (Ameumba vyote lakini bado anaweza kukaa ndani ya mtu)?
3.      What God can do now, Mungu anaweza kufanya nini sasa?
4.      What He will do tomorrow, Mungu atafanya nini kesho?
5.      What does all that imply to my life in general, Hiyo maana yake nini kwa ujumla katika maisha yangu?

Mungu anavyokuwa mkubwa katika mawazo ya mtu, anaathiri maneno ya mtu pia. Mungu alibadilisha mitazamo ya watu iwe kama ya kwake kwanza kabla hajaanza kutumika nao.

Chochote nje ya uwepo wa Mungu, ni kimeharibika.

Kila anayesahau Ukuu na matendo makuu ya Mungu huwa ni MLALAMIKAJI.

When you do what you know you become the knowledge. When the investment what a person has made in his/her life is not directly proportional to the outcome either what he/she know is Wrong or Confucius.

Ili tuweze kufanya mambo makubwa lazima tuwe na ukuu wa Mungu katika ufahamu wetu.

1 Chronicles 29:11
“Yours, O LORD, is the greatness and the power and the glory and the victory and the majesty, indeed everything, that is in heavens and the earth; Yours is the dominion, O LORD, and you exalt yourself as head over all”

Jeremiah 32:19

Isaiah 40:1-26 (12-27)
“…Lift up your eyes on high and see who has created these stars, The One who leads forth their host by number, He calls them all by name; Because of the greatness of His might and the strength of His power, not one is Missing”

POINT TO PONDER
God had and has a perfect plan of sustaining all that He created. There is nothing that God created that exist on its own. He is Life. He is the Source of Life and He gives Life to everything connected to Him. GOD SUSTAINS.

“Wanaolala njaa ni watu wenye akili zao lakini wanyama wote wanalishwa na Bwana Mungu mwenyewe”

Nini maana ya nguvu mpya:-
Kuuongezewa TUMAINI jipya.

“What can destroy can create, and what can create can destroy”

Nguvu hizo mpya zinatolewa kama matokeo ya kupoteza IMANI au TUMAINI.

Why don’t we apply or do what we know?

Kuruka kama tai ina maana kuwa watakuwa juu ya changamoto zao. Kuwa juu ya changamoto lazima uwe unajua Mungu ni nani?

Watakimbia na hawatachoka hii inamaana ya kuwa na Nguvu Endelevu.

Mungu hakuumba ubaya ndani ya moyo wa mtu, Kuna namna Shetani aliingiza ubaya kwa makundi kadhaa. Ndio karibia kila kundi la watu Fulani kuna ubaya ambao unaonekana sana kwa watu hao.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.