MOVE WITH MOVERS YOUTHE CODE OF TREES, GENEOLOGY, GENERATIONS AND SYSTEMS OF THIS WOLRD AFTER FLOODTH CAMP :
Genesis 10:1-32
Mtu,Familia,Kizazi,Mfumo,Milki.
How INFORMATION Flows
Kila kitu kinachoonekana kuzaa matunda mazuri au mabaya
kina mfumo. Familia zina mifumo, watu wana mifumo, nchi zina mifumo, Vizazi
vina mifumo,
Mifumo ipo kutimiza kusudi la pamoja la waliotengeneza mifumo
hiyo.
Mifumo hii inaweza kugawanywa katika makundi mbalimbali. Mifumo inayoongoza kumiliki na kutawala(Kuendesha mambo mengine yote) inaweza kugawanywa kama ifuatavyo;
HILA Ni kiwango cha juu kabisa cha ujanja
kisichoweza kugundulika kwa urahisi ambacho huleta madhara makubwa kwa
anayefanyiwa Hila hizo.
Katika eneo la Hila Hata Shetani ana uwezo wa kujibadilisha
na kuwa Malaika wa Nuru
THE CODE OF TREE
Decoding the Trees
Mwanzo
2:9, 15-17
Aina za miti
iliyokuwepo katika Bustani ya Edeni
1. Miti inayotamanika kwa macho na Tumbo
Hii ilikuwa ni Miti ya kawaida kabisa ya matunda iliyotumika kama chakula
cha kawaida
2. Mti wa Uzima
3. Mti wa Ujuzi wa Mema na Mabaya
Mtu aliagizwa/Aliamriwa kutokula Matunda ya Ujuzi wa Mema na Mabaya. Agizo ni Amri hasa
likitoka kwa Mungu.
Mungu hakuzuia Mti wa Uzima usiliwe bali aliwazuia yasiliwe
baada ya Adamu na Eva kumtenda Mungu dhambi. Kuna katazo la Kuliwa kwa mti wa
uzima lakini hakuna maelekezo ya Kutokuliwa.
Mwanzo 3:21-22
Adamu hakukatazwa
kutumia Mti wa Uzima kwa sababu tayari alikuwa katika uzima na umilele.
Ujuzi,Knowledge,Knowing good and evil
Mungu hakutaka Adamu na Hawa wajue Mema na Mabaya ingawa yaliyokuwepo.
Yohana 14:6 | Ufunuo 2:7, 22:14, 22:2
Hakuna Utofauti kati ya Mti wa Uzima na Yesu
KEYS: FUNGUO
1. Each Tree represents a System
2.
Each Tree represents a Belief
3.
Each Tree represents a body or a bundle of knowledge
4.
A tree with Fruits, Mti wenye
Matunda
5.
Inside each tree there is Knowledge,
inside knowledge there are fruits/Purpose/Intention
6.
Each Fruit represents the content, the product, the outcome
7.
The Fruit is the type of Information
8. Information
Mwanzo 3:1-24
Utakufa Hakika[MUNGU]Hakika Hamtakufa[Shetani]
Mungu aliweka Stress kwenye kitendo cha KUFA, Nyoka aliweka
stress kwenye hali HAKIKA na sio kwenye Kitendo.
Tumbo na macho vilitamani matunda kutoka kwenye mti ambao
haukupaswa Kufaa na kutamanika kwa chakula.
Adamu hakudanganywa, alijua kila kilichokuwa kinaendelea.
Mungu alizuia mwanadamu kutokuyajua Jema na Baya kwa sababu
kuna watu ambao hawawezi kuvumilia/Kustahimili kubaki katika Mema tu
wanapoyajua hayo yote.
MAANA YA EVA KULA
TUNDA LA UJUZI WA MEMA NA MABAYA
1. Kupokea Elimu mpya ya Shetani
2.
Kuikubali Elimu mpya ambayo Shetani
alimpatia Eva
3.
Kuiamini Elimu hiyo
4.
Kuifanya Elimu hiyo (DO)
5. Kuwa Elimu hiyo (BECOME)
Mungu alikuwa hataki sisi tuwe kama yeye katika kujua mema
na mabaya. Maana tayari alikuwa ametuumba kwa Sura na mfano wake mwenyewe.
Hakuna maoni: