KUBADILIKA NI MAAMUZI.
Nukuu za Raphael JL: Ukiona unafurahia udhaifu ulonao ambao unakusaidia kukosea kwenye dhambi unayoipenda na kwa ndani hutaki kuiacha ujue umeingia mkataba wa urafiki na upepo na ni ishara nyepesi kuwa hujipendi kwa kiwango hicho. Usivyoweza wewe, mpelekee Yesu,neema yake itakusaidia kuvuka. Ila kama dhambi yenyewe bado unaipenda hata kama ni kwa mbali, basi unakidanganya kivuli chako mwenyewe. KUBADILIKA NI MAAMUZI.
Ushirika na Mungu!
Hakuna maoni: